Timu ya taifa Tifa stars inatarajiwa kucheza mechi ya kirafiki dhidi ya timu ya taifa ya kenya harambee stars, mchezo huo utakua ni sehemu ya maandalizi kwa timu zote mbili kujiandaa na michuano ya kuwania kufuzu kwa fainali za mataifa ya afrika mwezi juni 2016 ambapo Taifa stars itacheza dhidi ya misri juni 04 mwaka huu katika uwanja wa Taifa jijini Dar es salam TFF kwa kushirikiana na FKF zimekubaliana kuwepo kwa mchezo huo wa maandalizi kwa timu zote kujiandaa na michezo ya kuwania kufuzu kwa AFCON 2017 mwezi juni , kikosi cha Taifa stars kinachonolewa na kocha mkuu charles Boniface M kwasa kinatarajiwa kuingia kambini mwezi mei mara baada ya kumalizika kwa ligi kuu ya vodacom [VPL] kujiandaa na mchezo huo wa kirafiki kabla ya kuwakabili misri mwezi juni 2016 .......Chanzo BBC... |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni