Mjane wa Rais wa kwanza wa Tanzania Baba wa Taifa Julius kambarage nyerere pamoja na mwanae Mh. makongoro na msaidizi wake wametembelea Daraja jipya la julius nyerere kigamboni Ameshukuru Rais Magufuli kwa kuamua Daraja hilo liitwe Daraja la Nerere kwa heshima ya baba wa taifa Mama maria amabe hakujali mvua kubwa iliyokua inanyesha alionekana mwenye furaha kufika darajani hapo kwani ndoto ya miaka mingi iliyoanzishwa na hayati mumewe imetimia .kwani amesema ni jambo amablo limemfariji sana kwani vizazi vya sasa na vijavyo vitamkumbuka muhasisi wa Taifa hili. |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni