MADEREVA WA MALORI KENYA WAGOMA, WATAKA MADEREVA WANAOTOKA TANZANIA WAONDOKE NCHINI HUMO..
Madereva wa malori nchini kenya wagoma wataka madereva wanaotoka Tanzania waondoke nchini humo madereva hao wameamua kuiandikia vizara husika barua inayowataka madereva wanao toka Tanzania kuondoka nchini humo na kurudi nchini kwao Tanzania.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni