Wanachi nchini congo wamejiandaa kuupokea mwili wa aliyekua nguli wa mziki barani afrika Papa Wemba ambae alifariki dunia nchini Ivory cost wakati akitumbuiza katika tamasha nchini huko baada ya kuanguaka gafla jukwaani wakati akiwa anatumbuiza na kuaga dunia muda mfupi baadae, mwiili wa mwanamuziki huyo unatarajiwa kuwasili nchini kongo nchi aliyozaliwa mwanamuziki huyo kwa ajili ya taratibu za mazishi, mwanamuziki huyo aliaga dunia wiki iliyopita akiwa na umri wa miaka 66. |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni