Kiti cha spika wa Bunge kimesema ipo haja ya kufanya marekebisho ya sheria pamoja na kanuni ili kila mbunge apate posho kulingana na kazi aliyofanya bungeni badala ya utaratibu wa sasa wa kuangalia mahudhurio pekee ,aidha kimewataka wabunge kubadili na kuacha tabia ya kuchukua posho za vikao vya bunge bila kuzitolea jasho |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni