club ya Atletico Madrid yenye maskani yake nchini spain imefanikiwa kuibuka na ushindi wa 1-0 dhidi ya club ya bayern Munich ya nchini ujerumani mechi hiyo ni ya pili kuchezwa katika hatua ya nusu fainali ya michuano ya club bigwa barani ulaya ambapo mechi ya kwanza kwanza ilikua ni kati ya Real Madrid na Manchester City ambapo mchezo huo ulimalizika kwa sare ya kutokufungana, mechi za marudiano zitachezwa wiki ijayo ambapo atletico madrid watasafiri mpaka nhini Ujerumani kwa ajili ya kuwakabili bayern munich mchezo utakaopigwa katika uwanja wa alliance arena ,huku club ya manchester city wao watalazimika kusafiri mpaka nchini hispania katika jiji la madrid ambapo watakabiliana na real madrid mchezo huo utapigwa katiaka uwanja wa santiago bernabeu. |
|
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni