Msanii wa kizazi kipya kala Jeremiah ameibuka na kusema kwa wakati huu haoni sababu ya yeye kuangaaika kupenya kimataifa kwani bado hata soko la ndani hajalimaliza,msanii huyo kipaji chake kilianza kungaa katika mashindano ya kumtafuta mwanamuziki mwenye kipaji bongo star search [BSS] ambapo kuanzia hapo ndicho nyota ya msanii huyo ilipoanza kungaa na kufanya vizuri katika tasnia ya mziki wa kizazi kipya hapa nchini.. |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni