club ya leicester city wametangazwa rasmi kua mabigwa wapya wa EPL mwaka 2015,2016 baada ya jana club ya tothamhospurs kulazimishwa sare ya goli 2-2 na chelsea katika uwanja wa stanford bridger amabpo ,Eden hazard ndiye mchezaji aliye wanyima ubigwa spurs baada ya kusawazisha goli dakika ya 85 na matokeo kua mbili,mbili ,club ya leicester city kutwaa ubigwa huo wa epl ni historia pekee kwa club hiyo na pia kwa kocha wao claudio raniery , kwani taji hilo la epl ni taji kubwa kabisa kwa kocha huyo kuwahi kulitwaa katika kazi yake ya ukocha...... |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni