Hatimae rapper fat joe kutoka nchini Marekani aamua kujikita katika biasha zaidi, kwa kujihusisha na biashara ya supermarkets akifanya mahojiano na kituo kimoja television nchini humo alisema kwangu haya ni maamuzi sahihi na pia nahisi huu ni wakati muafaka kwangu kufanya hiki ninachokifanaya kwa sasa,rapper huyo amekua kimya kwa muda sasa baada ya kutamba kwa muda katika tasnia ya muziki akiwa na nyimbo kama vile make it rain aliyomshirikisha Lily wayne, na zinginezo............
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni