Wachezaji wa club ya real madrid wakiwa katika ndege wakisafiri kuelekea nchini wingereza kwa ajili ya kuikabili club ya manchester city katika nusu fainali ya michuano ya club bigwa barani ulaya siku ya leo,madrid inayo ongozwa na kocha zinedine zidane imekua ikipata matokeo mazuri tangu kocha huyo alipoteuliwa kuchukua mikoba ya kocha Rafael benitez, aliyetimuliwa ndani ya club hiyo baada ya club kufanya vibaya... |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni