Hatimae Antonio konte ametangaza kuwa kocha rasmi wa club ya chelsea yenye makazi yake jijini London nchini wingereza kocha huyo alitangazwa rasmi jana jumatatu kua kocha mpya wa club hiyo ya chelsea kwa kusaini mkataba wa miaka mitatu kuitumikia club hiyo,kocha huyo anatarajiwa kujiunga na club hiyo msimu ujao, kwani kwa sasa kocha huyo yupo na timu ya Taifa ya Italy ambayo itashiriki michuano ya euro 2016 ...... |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni