Mlima kilimanjaro uliopo nchini Tanzania umepewa tuzo ya kivutio kinachooongoza kuliko vivutio vyote Barani Afrika mwaka 2016 Taarifa hiyo imetolewa na Bodi ya Utalii Tanzania [TTB] mlima huo ulipewa tuzo hiyo wakati wa utoaji wa tuzo za World Travel Awards African and Indian Ocean Gala Ceremony sherehe hizo za utoaji wa tuzo hizo ulifanyikia visiwani Zanzibar. |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni