Pichani ni Wabunge wa Bunge la jamuhuri ya muungano wa Tanzania,wa kwanza kutoka kushoto ni Mh.victor mwambalaswa Mbunge wa lupa, wapili ni Mh saidi Murad Mbunge wa Mvomero ,na watatu ni Mh kangi lugola Mbunge wa Mwibara, wakiwa katika mahakama ya kisutu kujibu mashtaka yaulaji rushwa yanayo wakabili, wabunge hao walifikishwa kwenye mahakama hiyo na taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa TAKUKURU , kwa ajili ya kujibu mashtaka hayo yanayo wakabili, Wabunge hao wamekumbwa na kashfa hiyo wakiwa katika kamati za kudumu za bunge... |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni