Baada ya shirika la umeme Tanzania TANESCO kutuma maombi ya kushushwa kwa bei za umeme ,hatimae EURA yatanga rasmi kushusha bei ya umeme kuanzia leo tarehe 1-4-2016 ,pamoja na garama zingine kama vile service chaji kwa baadhi ya wateja kulingana na matumizi ya mteja husika.. |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni