Nusu fainali ya kwanza ya mashindano ya club bigwa barani ulaya kupigwa leo mashindano hayo yanayotambulika kwa jina la uefa champions league yatazikutanisha timu za manchester city na real madrid katika nusu fainali ya kwanza inatarajiwa kupigwa katika jiji la manchester ambapo club ya real madrid wamesafir kutoka spain mpaka nchini wingereza kwa ajili ya pambano hilo linalotarajiwa kupigwa katika uwanaja wa ethad stadium wa manchester city ,timu hizo zilifanikiwa kutinga katika hatua hiyo ya nusu fainali baada ya club ya manchester city kufanikiwa kuiondoa club ya paris saint jamein kwa jumla ya goli tatu kwa mbili, huku real madrid walifuzu hatua hiyo baada ya kuitoa timu ya wosburgy kutoka nchini ujerumani kwa jumla ya magoli matatu kwa mawili.mchezo huo unatarajiwa kupigwa majira ya saa 3:45 kwa saa za afrika ya mashariki... |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni