PHILIPE SCHOLAR AMPA ONYO ANTONIO KONTE KABLA YA KUANZA KAZI YA KUINOA CLUB YA CHELSEA YENYE MASKANI YAKE JIJINI LONDON NCHINI WINGEREZA
kocha philip scholar amempa onyo kocha wa timu ya taifa ya italy ambae pia anatarajiwa msimu ujao kujiunga na club ya chelsea ya nchini england amabapo kocha huyo ameshasaini mkataba wa miaka mitatu kwa ajili ya kuitumikia club hiyo kwa msimu ujao
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni