Raisi wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania muheshimiwa John Pombe Magufuli ametangaza rasmi kufuta sherehe za muungano amabazo hufanyika tarehe 26 april kila mwaka na kusema fedha zilizokua zitumike kuadhimisha siku hiyo zikatumike katika ujenzi wau panuz iwa barabara ya Air port jijini Mwanza..... |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni