MWILI WA NGULI WA MUZIKI BARANI AFRIKA PAPA WEMBA KUPUMZISHWA LEO KATIKA NYUMBA YAKE YA MILELE...
Mazishi ya mwanamuziki nguli barani afrika papa wemba yanafanyika kijijini kinchasa.umati mkubwa wa watu umekusanyika nje ya kanisa la Notre Dame , kuhudhuria misa ,papa wemba anatarajiwa kuzikwa baadae leo jijini kinshasa..
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni