 |
kocha mpya wa club ya manchester city, yenye maskani yake katika jiji la manchester, nchini wingereza ameanza kazi ya kukitengeneza kikosi hiko, kwa kuanza harakati za usajili , taarifa zinasema muhispaniola huyo, ameanza mipango ya kumsajili kiungo IIkay Gundogan. |
|
kiungo huyo kutoka nchini ujerumani amekua kivutio kikubwa cha meneja huyo kutoka nchini Hispania na alikaribia kusaini mkataba na Man city mwezi uliopita, lakini kikwazo kikawa majeraha ya goti yaliyomkabili.
Gundogan, bado ana mkataba na klabu ya Borussia Dormund hadi mwaka 2017.
Ada yake ya uhamisho inatajwa kuwa Euro milioni 2 kama mgao wake ulioainishwa kwenye mkataba...
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni