Michuano ya club bigwa inatarajiwa kuendelea leo katika hatua ya nusu fainali, amabpo club ya real madrid itakabiliana na club ya manchester city ambayo imesafiri mpaka nchi spain katika jiji la madrid kwa ajili ya kukabiliana na wapinzani wao katika michuano hiyo, katika mechi hiyo nyota wa real madrid cristiano ronaldo pamoja na mwenzake james wanatarajiwa kurudi katika mechi hiyo baada ya kuikosa mechi ya kwanza iliyochezwa katika uwanja wa ETHAD jijini manchester... |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni