hatimae club ya atletico madrid yafanikiwa kutinga hatua ya fainali baada ya kupata goli la ugenini lililowekwa kimiani na mshambuliaji wa club hiyo antonio creizman, baada ya bayern kupata goli la kuongoza na mpaka mwisho wa mechi hiyo bayern 2- 1 atletico na matokeo ya jumla kua ni bayern 2-2 atletico madrid.. |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni