![]() | |
Klabu ya Manchester united yapata kugugumizi kumtangaza Jose Morinho rasmi kuwa kocha mpya wa club hiyo, kutokana na changamoto zinazowakabili kwa sasa. |
Morinho alianza kufanya mazungumzo na uongozi wa klabu hiyo ya mjini Manchster mwishoni mwa juma lililopita, na amekubali kupokea mshahara wa pauni milioni 60 kwa mwaka .
Taarifa hizo zimeeleza kwamba huenda hii leo, pande hizo mbili zikasaini mkataba huo kabla ya kutangazwa kwa Jose Morinho kama meneja rasmi wa Man utd..
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni