Mshambuliaji wa club ya real madrid cristiano ronaldo ameruhusiwa rasmi na madaktari wa club hiyo kucheza mechi ya leo kati ya real madrid na manchestar city ,awali mshambuliaji huyo alikosa mechi ya kwanza iliyopigwa katika dimba la ETHAD STADIUM jijini manchester , na mechi hiyo kuisha kwa sare ya bila kufungana.mechi hiyo ya marudiano inachezwa leo katika dimba la santiago bernabeu nchini spain na itachezwa majira ya saa 23:45 kwa saa za afrika ya mashariki.. |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni