uwanja wa club ya liver pool unatarajiwa kuwa uwanja wa nne kwa ukubwa kati ya viwanja vya timu zinazoshiriki ligi kuu nchini wingereza uwanja huo kwa sasa unaojegwa sasa ukikamilika unatarajiwa kuwa uwanja wenye uwezo wa kubeba mashabiki wengi zaidi tofauti na uwanja wanaoutumia kwa sasa. |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni