![]() | |
Msanii wa bongo movie nchini Wema Sepetu , ameandika ujumbe kwa kupitia mtandao wa kijamii wa instagram juu ya maumivu anayoyapata kutokana na kutokupata mtoto, |
Wasanii wenzake na baadhi ya mashabiki wamekuwa wakimpa faraja kila kukicha kuhusiana na swala hilo.
''iko siku na mimi mtaitwa mama,, ameandika kupitia ukurasa wake wa instagram akiambatanisha na picha aliyokumbatiana na mam yake.....
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni