Hili ndilo kaburi atakalozikwa nguli wa mziki barani afrika papa wemba ,kaburi hili liko pembeni kidogo ya mji wa kinchasa nchini kongo mwanamuziki huyo alikutwa na mauti nchini ivory coast alipokua akitumbuiza na kuanguka jukwaani na kupoteza maisha muda mfupi baadae.... |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni