Mwanamuziki wa kizazi kipya roma mkatoliki anasema ataanza kuimba nyimbo za mapenzi au starehe pale utakapopatikana uongozi au utawala utakaobadilisha taifa hili, najaribu kutafuta utawala au uongozi utakaonifanya niimbe bata nikianza kuimba bata inamaana tumeshinda vita,ila kwa sasa naendelea kushindilia ili nibaki kuwa mwanaharakati hapa tanzania.. |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni