Jarida maarufu huko nchini ufaransa L ,Eguipe limedai kiungo wa Juventus na timu ya taifa ya Ufaransa Paul pogba amewaambia marafiki zake na wachezaji wenzake kwamba anataka kurejea Man United ikiwa ni Miaka minne tangu aondoke Old Trafford kwenda kujiunga na klabu ya Italy Juventus. |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni