Mabasi ya City boys yanayofanya safari zake kutoka dar es salam ,mwanza,na Shinyanga Dar es salam, yamepata ajali katika eneo la Miwani mkoani Singida na watu 24, wamepoteza maisha papo hapo na wengine wamejeruhiwa vibaya,baada ya kugongana uso kwa uso.. |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni