![]() | |
Huu ndiyo muonekano mpya wa sasa hivi wa rapa chid Benz, aliekua akipata matibabu kutokana na kuadhiriwa na dawa za kulevya |
Hata hivyo meneja wa kundi la Tiptop connection Babu tale ndiye mtu aliejitolea kwa hali na mali kuhakikisha msanii huyo anarudi katika afya yake ya kawaida na kuweza kuendelea na shuhuli zake za muziki,.
Sambamba na hilo msanii huyo baada ya kupona sasa atakua anasimamiwa na Meneja Babu tale katiaka kazi zake za mziki kwa sasa.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni