![]() | |
Kocha mpya wa klabu ya chelsea Antonio Konte anataka kumsajili beki wa kushoto wa manchester united Mateo Damian, |
Kwa sasa mchazaji huyo yupo nhini ufaransa na timu ya taifa ya italy katika fainali za EURO, timu hiyo ipo chini ya kocha antonio konte ambae ni kocha mtarajiwa wa klabu ya chelsea na kuwa pamoja kwa kocha huyo na beki huyo wa mashetani wekundu, huenda ukawa ni mwanya mzuri kwa kocha huyo kumshawishi Matheo Damian kutua Stanford bridger.
Usajili huyo unataka kufanyika ikiwa ni moja ya harakati za kocha huyo mwitaliano kutengeneza safu ya ulinzi ya klabu hiyo ya chelsea baada ya kuonekana kutetereka katika msimu uliopita kitu kilichopelekea klabu hiyo ambao walikua ni mabigwa wa tetezi kumaliza msimu wakiwa katika nafasi ya kumi katika msimamo wa ligi kuu nchini wingereza...
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni